Ushauri: Serikali itumie gesi ya kabonidayoksaidi iliyopo Tukuyu kuzalishia umeme

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Najua serikali yangu ni sikivu.
Leo nimekuja na bonge la ushauri.

Naiomba serikali tutumie gesi ya kabon dayoksaidi (okay) iliyopo Tukuyu kuzalishia umeme.

Kwani tunayo gesi nyingi sana kule Tukuyu ambayo ni malighafi inayotumika Kuzalishia umeme.

Tuchangamkie fursa hiyo.
 
Tuliaminishwa gesi ya Mtwara ingemaliza matatizo ya umeme na itakuwa ni historia kukatika umeme, tukapigwa na vifaru kuruhusu itoke tukanywea ikatoka matokeo yake tukaambiwa sio yetu ile ilishauzwa! Tukaambiwa Nyerere stiglazi goji ndio mwisho wa matatizo, tukaundiwa tume za maprofesa kutuaminisha hapa ndio mwisho wa matatizo, tutakuwa na umeme hadi tutashangaa wenyewe! Matokeo yake tunaambiwa tusitegemee kiviiiiiiiiile maana kwanza makreni hamna na tunadaiwa bil 18 sababu ya umeme kukatika katika, sasa tena mnasema habari za kaboni dayoksaidi tena jamani, so tusahau vya goji ya stiglazi?
 
Serikali ipi? watu wako bize kujipanga 2025 wasinyanganywe nafasi zao
 
Najua serikali yangu ni sikivu.
Leo nimekuja na bonge la ushauri.

Naiomba serikali tutumie gesi ya kabon dayoksaidi (okay) iliyopo Tukuyu kuzalishia umeme.

Kwani tunayo gesi nyingi sana kule Tukuyu ambayo ni malighafi inayotumika Kuzalishia umeme.

Tuchangamkie fursa hiyo.
Cndiooo home sweet home
 
Tuliaminishwa gesi ya Mtwara ingemaliza matatizo ya umeme na itakuwa ni historia kukatika umeme, tukapigwa na vifaru kuruhusu itoke tukanywea ikatoka matokeo yake tukaambiwa sio yetu ile ilishauzwa! Tukaambiwa Nyerere stiglazi goji ndio mwisho wa matatizo, tukaundiwa tume za maprofesa kutuaminisha hapa ndio mwisho wa matatizo, tutakuwa na umeme hadi tutashangaa wenyewe! Matokeo yake tunaambiwa tusitegemee kiviiiiiiiiile maana kwanza makreni hamna na tunadaiwa bil 18 sababu ya umeme kukatika katika, sasa tena mnasema habari za kaboni dayoksaidi tena jamani, so tusahau vya goji ya stiglazi?
Lakini hii gesi ya kupikia, si ya Mtwara ..?
 
Gesi ya Mtwara vipi..?
Nchi hii kuna watu lazima waje washatakiwe upigaji wa kiwango cha aibu!

Watazuga na kufanya mbinu nyingi kusitokee mabadiliko ya katiba ili wawe salam...lkn hakuna baya lisilo na mwisho yatakuja kushtakiwa hata makaburi yao!

Wameifilisi sana nchi hii, sasa hivi wanajifanya kuchekacheka!
 
Kivipi ndugu, upigaji wapi..?
 
Back
Top Bottom