Hizo waweke tu hata 99.999%, walamba asali kwa sasa wanamudu chochote.
Watoe kodi kwenye bidhaa zetu walala hoi(nikisema wanyonge, chawa watataharuki) tuweze kumudu mlo kamili angalau mmoja kwa siku.
Yale magari used pia waangalie zike kodi, gari ta kununua 10m mnadani unalipia kodi 12m TZ, huu ni ujuha wa hali ya kisisiemu.