Simba kama kampuni itafanya vizuri zaidi ikiachana na mpira na ikahamia kwenye kutengeneza mabegi.Habari, bila kupoteza muda , naomba kutoa ushauri kwa management ya simba na marketing managers wa sanderland kutengeneza vibegi maalum vya kibiashara kwaajili ya mashabiki na wapenzi wa simba!
Vibegi hivi viwe katika muundo wa kuvaa kiunoni kwaajili ya vijana wa kike na wakiume na vingine viwe vigodo size ya waleti za akina mama!
Viwe katika rangi nne nyekundu, nyeupe, bluu, kijivu na nyeusi. Hivyo kuongeza machaguzi ya wateja katika rangi na muundo!
Naomba kuwasilisha!
SIMBA DAY UNYAMA MWINGI!
Imagine kwa vibe la leo uwanjani wange'introduce vibegi each just kwa 10k ,wengenunua hivyo wangeongeza mapato!Simba kama kampuni itafanya vizuri zaidi ikiachana na mpira na ikahamia kwenye kutengeneza mabegi.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app