Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Punguza ushauri watu wana mipango yao.
Kiukweli hii ligi sio ya kurudi kama umetoka nje na kwenda ligi bora na umri bado. Sijui nani alimshauri Farid Musa.Namshauri Msuva, aende Simba
Upumbavu mkubwa sana badala umshauri akatafuta team nje wewe unataka abaki hapa hapa
Hapa ndipo unapoona kuwa makocha sasa wamekuwa mawakalaKim aache kuita wachezaji wasio na timu hii itawapa changamoto ya kutafuta timu ya kuchezea
Hata wasio na namba asiwaite, makocha was timu za taiga huwa wanawaambia wazi nyota wao kama wanakaa benchi ama watafute timu wacheze la sivyo wasahau timu ya taifa lakini sisi huku tunawapa nafasi hata kama wanakaa benchHapa ndipo unapoona kuwa makocha sasa wamekuwa mawakala
Kaka huyu jana alodhihirisha kuwa ni wa mchongo maana kocha mwenye weledi hawezi fanya maamuzi ya kipuuzi kama yale.Hata wasio na namba asiwaite, makocha was timu za taiga huwa wanawaambia wazi nyota wao kama wanakaa benchi ama watafute timu wacheze la sivyo wasahau timu ya taifa lakini sisi huku tunawapa nafasi hata kama wanakaa bench
Farid Kiwango chake kilikuwa kawaidaKiukweli hii ligi sio ya kurudi kama umetoka nje na kwenda ligi bora na umri bado. Sijui nani alimshauri Farid Musa.
Ushauri siyo lazima uufuatePunguza ushauri watu wana mipango yao.
Siyo upumbavu bali amemshauri kwa nia njema alinde kipaji chake wakati anasubiri shauri lake kutoka FIFA.Namshauri Msuva, aende Simba
Upumbavu mkubwa sana badala umshauri akatafuta team nje wewe unataka abaki hapa hapa
Simba ni ya 14 Africa. Wengine wajitaje wenyewe ππ πSasa akienda simba ya akina Mugalu, Kegere, Bocco, Kibunenga! Siyo ndiyo kipaji kitakwisha kabisa! Yaani timu msimu mzimu inapata kombe la Bonanza, la Mapinduzi pekee!
Bora hata angeenda Coastal Union, timu iliyo fanikiwa kufika fainali Kombe la Shirikisho! Ila siyo simba bhana.
Ukiangalia hata kwenye mechi ya jana, Zimbwe ndiyo alikuwa uchochoro kwa Waaljeria, ukimlinganisha na beki 'katili' namba 2, Kibwana Shomari.
Kukaa benchi inategemea mkuu mfano Bouna Sarr anasugua pale Bayern lakini ni panga pangua akiwa SenegalHata wasio na namba asiwaite, makocha was timu za taiga huwa wanawaambia wazi nyota wao kama wanakaa benchi ama watafute timu wacheze la sivyo wasahau timu ya taifa lakini sisi huku tunawapa nafasi hata kama wanakaa bench
Hapo kwa sarr umesema kweli jamaa akiwa Senegal anakiwasha vile vile ila huko anasugua benchi.Kukaa benchi inategemea mkuu mfano Bouna Sarr anasugua pale Bayern lakini ni panga pangua akiwa Senegal
Au wakati Xherdan Shakir yupo liver hakuwa na uhakika wa namba ila alikuwa mchezaji tegemeo wa Switzerland
Kutopta nafasi ni tofauti na kukosa timu, mchezaj wa aina Hyo anafanya mazoezi kila siku na timu yake na maelekezo ya kocha anayapta. Sasa msuva anafanya mazoezi wapiHapo kwa sarr umesema kweli jamaa akiwa Senegal anakiwasha vile vile ila huko anasugua benchi.
Mbwana SamattaKiukweli hii ligi sio ya kurudi kama umetoka nje na kwenda ligi bora na umri bado. Sijui nani alimshauri Farid Musa.