Swift naipenda sana,nimeshaitengea bajeti yake...kuhusu wese kama zinafanana..labda spare.Suzuki Swift ni nzur zaidi.
Duc in Altum
kwa bajeti yangu ya Milioni nane naweza nikapata Swift au ndio nafanya kazi ya kufukuza upepo.Swift naipenda sana,nimeshaitengea bajeti yake...kuhusu wese kama zinafanana..labda spare.
8 M kwa Dar ukitulia lazima upate Swift hasa kwa darkwa bajeti yangu ya Milioni nane naweza nikapata Swift au ndio nafanya kazi ya kufukuza upepo.
Hoja ya kipuuuzi kabisa kuwahi kutokea. Kuna gar yenye jinsia? Utakuta wewe hata baiskeli huna then unatoa hoja nyepesi kama hii.Sikushauri ununue swift au vitz hiyo pesa ni bora uendelee kuumiza kichwa utaiwekeza katika nn ili iendelee kuzalisha.. N.B Kama ww n mwanamke nunua vitz
Nikitulia vipi mkuu,Nahitaji kuagiza toka Japani moja kwa moja kwa kutumia beforward.Yard za Dar naogopa uchakachuzi mwingi.8 M kwa Dar ukitulia lazima upate Swift hasa kwa dar
Duc in Altum
Kuagiza ni vizur kama huna haraka ila sidhan kama Dar kuna uchakachuz kama watu wengu wanavyodhani. Zipo yard kubwa na wafanyabiashara ambao wapo serious na biashara zao.Nikitulia vipi mkuu,Nahitaji kuagiza toka Japani moja kwa moja kwa kutumia beforward.Yard za Dar naogopa uchakachuzi mwingi.
Still mi nakushauri ununue swift.Wadau samahanini kwa kuingilia mada ya mtu mwingine...
Nilipenda kufahamu kati ya Swift na IST ipo ni nzuri kwa mishe za hapa mjini na kutoka kidogo nje ya mji