Ushauri: Taa zipi za Solar zinafaa kuwekwa nje kusaidia suala la usalama na ulinzi?

Ushauri: Taa zipi za Solar zinafaa kuwekwa nje kusaidia suala la usalama na ulinzi?

crome20

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2010
Posts
1,193
Reaction score
810
Mwenye kujua ubora wa taa za solar kwa ajili ya security light nje nahitaji kujua brand zilizo bora, je, Watts ni kigezo cha bei?

Ni kweli unaweza kuwa na solar ya 2000Wats ikiwa combined na pannel? Kuna mahali nimeiona inauzwa Tsh. 150,000.

Naomba ushauri pia wa vitu gani kuzingatia kabla ya kufanya maamuzi.
 
Mwenye kujua ubora wa taa za solar kwa ajili ya security light nje. Nahitaji kujua brand zilizo bora, je Watts ni kigezo cha bei? Ni kweli unaweza kuwa na solar ya 2000Wats ikiwa combined na pannel? Kuna mahali nimeiona inauzwa Sh.150,000. Ushauri pia wa vitu gani kuzingatia kabla ya kufanya maamuzi
Kama unazingatia security hakikisha unanunua taa automatic yaani zinazojiwasha zenyewe ikifika saa 12 na ikiwezekana attach CCTV camera.
 
Kama unazingatia security hakikisha unanunua taa automatic yaani zinazojiwasha zenyewe ikifika saa 12 na ikiwezekana attach CCTV camera.
Ok, sasa brand gani, maana mchina huyu anavyotupelekesha, hujui feki ni zipi na za ukweli ni zipi
 
Kioo ni wats 2000????? Sijawah kuona..ninkwa matumiz yapi hasa umelenga hapo home??
 
Back
Top Bottom