Mwenye kujua ubora wa taa za solar kwa ajili ya security light nje. Nahitaji kujua brand zilizo bora, je Watts ni kigezo cha bei? Ni kweli unaweza kuwa na solar ya 2000Wats ikiwa combined na pannel? Kuna mahali nimeiona inauzwa Sh.150,000. Ushauri pia wa vitu gani kuzingatia kabla ya kufanya maamuzi