USHAURI TAFADHALI:mke kagoma kubadili dini yake

Vunja mtumbwi mgawane mbao
Inategemea huo mtumbwi upo katika mazingira gani.Unaweza ukashauri avunje mtumbwi hatimae wote wakafa majini.Ndoa ndoano.

ONCE A MOSQUITO LANDS ON YOUR TESTICLES,YOU WILL REALIZE TO SOLVE CONFLICTS IN A POLITE WAY.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo Umechelewa Sasa Hivi, Hapo Ndiyo Ukimstahi Mke Ndugu Huzai Naye.
* Timing Mbovu*
 
Tukusaidie nini?
 
Bro barabara inakona mbili tu, kushoto au kulia, toka njia panda utagongwa
 
Yani watu waliopendana waachane kisa midini ya kurithi?
 
Kwamba akioa wa imani yake au akimslimisha hela zitajileta au sio?
 
Nina mfanyakazi wangu wa kike mama ake ni mkristo hadi kesho lakini babake alikua muislam,hivyo kila mtu abaki na dini yake cha msingi ndani muheshimiane sio kuleteana itikadi za dini zenu ndani,regarding tu kila mtu kashatambua japo kduchu misingi ya dini ya mwenzake na lengo ni moja ambalo ni kmutafta mungu tu.

Kwa swala la watoto watachagua wenyewe waende wapi kna watakao kufata wewe na wengine watamfata mama yao hakna tatizo,linda moyo wako tu mwili achia ulimwengu.
 
Lakini kumbuka wote wanamuamini Mungu mmoja sa kivipi watengane kisa dini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…