ushauri tafadhali, MSc water resources management vs MSc water quality management

ushauri tafadhali, MSc water resources management vs MSc water quality management

mymy

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
296
Reaction score
111
habari zenu wana jamvi....! ushauri/mawazo yenu yanahitajika tafadhalini. ni kwamba kuna jamaa aliniuliza hili swali lakini kwangu likawa gumu kidogo kulijibu ndo nimelileta huku, kuna hizo kozi mbili anaulizia kati ya MSc water resources management na MSc water quality management ipi itamsaidia hasa hasa akitaka kujiajiri akimaliza?
 
Back
Top Bottom