habari zenu wana jamvi....! ushauri/mawazo yenu yanahitajika tafadhalini. ni kwamba kuna jamaa aliniuliza hili swali lakini kwangu likawa gumu kidogo kulijibu ndo nimelileta huku, kuna hizo kozi mbili anaulizia kati ya MSc water resources management na MSc water quality management ipi itamsaidia hasa hasa akitaka kujiajiri akimaliza?