Mr possibility
Senior Member
- Mar 19, 2020
- 175
- 134
Unaogopa pisi kali sio??tofauti yangu na yako ni kua mi ni domo zege.. vingine tupo ukurasa mmoja.
Uko korea sio?Wenzako huku Korea hawaoi mpaka wawe na pesa tafuta hela wewe
nipo kwa jirani yake koreaUko korea sio?
ndio mkuu, kuna solution unayoweza kunipa!?.. kiuhalisia nazipenda ila sijui naanzia wapi kumuomba hata namba. yaan nkisalimia na story sizioni, nakua sina kingine cha kusema.Unaogopa pisi kali sio??
Nadhani akifika at 30-35 na hajazipata atabadilisha mtazamo.. nami pia ni hvo hvo ila nimejiwekea limit!..Ukipata hela Una miaka 70?
Mkuu inamaana inabidi niwe na pisi kali hivihivi kibishi sio??Ukipata hela Una miaka 70?
Mkuu yeyote akiwa na mimi kwenye misele akisema oya niitie pisi kali hawezi kukosa hata kama ni domozege.ndio mkuu, kuna solution unayoweza kunipa!?.. kiuhalisia nazipenda ila sijui naanzia wapi kumuomba hata namba. yaan nkisalimia na story sizioni, nakua sina kingine cha kusema.
unamaanisha nije kupiga misele au una maana gani nyingine!?.. maana bado haujawa msaada katika kunisaidia kutatua tatizo languMkuu yeyote akiwa na mimi kwenye misele akisema oya niitie pisi kali hawezi kukosa hata kama ni domozege.
Nahisi nina nyota ya ukuwadi aisee[emoji1666][emoji1666]
Hakuna cha ushauri hapa zaidi ya kukazia tu kua tafuta pesa, nasema ivi tafuta hela hayo mengine yatajipa tu yenyew.Moja kwa moja kwenye mada
Wakuu mimi kwa sasa niko singular so huwa nawaza kutafuta mamiloo wa kunipa kampani ila naghairi kwa kuanza kuwaza kuwa "acha nitafute kwanza hela"
Mawazo hayo ni kwa kuhisi kuwa ikiwa sitakuwa na hela ya kutosha mahusiano yanaweza kuleta shida na vitu namna hiyo
Nb mimi sio domozege
Nawasilisha