Ushauri tafadhali

Miaka kumi ya ndoa lazima kuna vitu mwanamke unajisahau. Mwanamme wa kiafrika ukitaka kumzungusha akili tena ... ni vijimambo vya ndani ya nyumba. mfano ice cream cone,new styles( internet) Hayo mambo ya kwenda out, dinner, siyo ya kumshtua mwanamme wa kiafrika,unaweza kuchukua aka sinzia.
 


ajisikie kivipi ?emotional or mental
 
Kama hujawahi kumnunulia chochote maishani ka mnunulie tie, soksi au chupi...don´t waist time with exajurations, simple as that. Au other idea, angalia kitu ambacho anakipenda sana ambacho hakitakukosti sana...maana kwa wengine wakianza kuona unamjali sana basiiii tena na wao hubadilika kabisa.
 
sasa bi haika kwa kweli mumeo hatumjui tabia zake na yeey wawapi( ina maana sana)......ushauri unaotaka labda jifunue zaidi weka sawa mumeo ni wa aina hii na ile watu wajiachie....

....pia hii ya kununulia zawadi jamani wanawake angalieni sana....hio sio suprise hata kidogo sana sana atasema asante na kukibwaga kitu hapo......kumtoa out nayo sio kabisa.....keshaona wengi wanatolewa out kwa hio kwake sio suprise........

......kuweni creative sio muone kwenye video shori ka suprise mumewe na wewe ukafany hivyo.....m learn mumeo kwanza.....na kuwa mbunifu....

angalia kitu ambacho anakipenda sana ambacho hakitakukosti sana...maana kwa wengine wakianza kuona unamjali sana basiiii tena na wao hubadilika kabisa.
weye utakuwa mchaga tu...ndio maana mnapigwa chini......
 
Kama hujawahi kumfanyia massage jaribu hilo. Mpe message ya nguvu usiku wa surprise.
Mambo ya ice cream pia unaweza kujaribu kama unapenda, maana hi yataka moyo kama una kinyaa.
Usiwe busy kiasi hicho dear, ndoa kila siku inataka ugunduzi wa mambo mapya. Tafuta muda wa kuwa na mzee, kaeni pamoja, chezeni michezo ya kimapenzi.
Hongera kuwa na 10 years kwenye ndoa yako.
 
ndio yepi hayo?
 
asanteni wote kwa ushauri!!
I will do some of the things and hopefully you will get to hear the results of your brother.
He is also a member here!!

You might be interested to know that many of the surprises which you give each other earlier on, are now routine. akiona menu au style fulani anajua nimeappreciate, you cant say 'thank you darling' everytime.

I asked here as I believed that there must be something out there, which ca make his eyes pop out!

Asanteni tena, and by the way the backside is growing (si unajua waswahili tukiolewa tunavyokuwa?)
 
Suprise, s up rise, mpe tigo

Si ajabu idadi ya mashoga nchini inaongezeka. Yaani mwenzako very reective kwa JF na members wake anaomba ushauri wa kuiboresha ndoa yake, wewe umjia na ushauri wa kiwendawazimu. Aibu kubwa kwako na kwa JF na sisi members wote.
 

hivi kuna siku inapita hujaongea habari za kujiexpress, sikuwezi
 

Mmmmmh.... hii imekaaje jamani? Mbona it's not romantic? But since you would like it maybe another man would like it too ... #skeptic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…