ushauri tafadhali

ushauri tafadhali

mamkindi

Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
61
Reaction score
5
kwa kawaida huwa ninapata hedhi baada ya siku 27 au 30, nimajaribu kama miezi mitatu kupata ujauzito ila naona hola. naombeni ushauri hapo ni siku zipi sahihi za kupata ujauuzito. pia naweza kutumia multvitamin bila kuapata ushauri wa daktari.
 
Mkuu ntafute, kitu one kick------ G0oooooooooo.......!!!
 
inawezekana tatizo lisiwe upande wako...maybe likawepo tatizo kwa partiner wako! nendeni wote wawili kwa daktari wa masuala ya uzazi. halafu huwa nasikia kuna masuala ya kusafisha njia ya uzazi ya mwanamke ambayo hufanywa ktk hospital. hiyo kitu ikifanyika njia inakuwa nyeupeee...one kirk gooooooo....
 
au hata ikachangiwa na vyakula mnavyokula! jitahidi upata mulo wa uhakika wenye vitaminis na minerals za kutosha
 
kwa kawaida huwa ninapata hedhi baada ya siku 27 au 30, nimajaribu kama miezi mitatu kupata ujauzito ila naona hola. naombeni ushauri hapo ni siku zipi sahihi za kupata ujauuzito. pia naweza kutumia multvitamin bila kuapata ushauri wa daktari.
bibie mamkindi Ikiwa unapata siku zako za Hedhi kwa tarehe27 kila mwezi basi itabidi umuambie mpenzi wako

mufanye mapenzi mwanzo wa tarehe 6 au 7 au 8 utaweza kushika mimba ukiweza kufanya mapenzi mfululizo utashika mimba. Au

kama unapata Siku zako za hedhi tarehe 30 basi itabidi umuambie mpenzi wako mufanye mapenzi kunako mwanzoni mwa tarehe 11 au 12 au

13 au ikiwezekana mufanye hizo tarehe zote mapenzi utashika mimba tu inshallah fanya hivyo kisha uje hapa utupe feedback
 
Back
Top Bottom