Ushauri tafadhari;Usiku wa kuamkia Leo sijapata japo lepe la usingizi.

Ushauri tafadhari;Usiku wa kuamkia Leo sijapata japo lepe la usingizi.

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Igweee wana chit-chat.Namshukuru Mungu kwa kunipa siku nyingine tena ya kusahihisha makosa yangu ya jana kuna wengi walitamani kufika Leo lakini Mungu amerudisha pumzi yake.
Ni hivi mwezi wa 6 katika nyumba ninayoishi alikuja mpangaji mwingine hivyo tukawa wawili.Huyu mpangaji alikuwa ni jinsia pendwa(ke) alivyokuwa anachaguwa chumba nilimwambia kuwa asichukuwe chumba cha karibu na changu.Wasiwasi wangu kupeana huru wakati wa usiku,ila yeye hakunisikia.Nashukuru kipindi chote hicho hadi jana tuliishi vizuri tu bila vioja vya aina yoyote.
Jana sasa kuna bwana ake kaja mida ya mchana.Mi narudi miangaikoni nafika home akanitambulisha kuwa mtu wake nikasema fresh tu.Imefika mida ya usiku nikatulia zangu sitting room nacheki movie jirani zangu wametangulia kulala.Haijapita hata nusu saa nikaanza kusikia kelele za yule girl na jamaa anagumia kwa mbali.Yule demu analia kabisa tena kwa sauti na kugumia kwa muda mrefu huku nasikia na vibao kwa mbali.Daah nili loose pozi lote mamaae.kelele zilianza saa 4 hadi 7 usiku.Kelele zile kusema kweli nilikosa usingizi lakini baada ya muda zikatulia nikaanza kuvuta shuka ghafla inafika saa9 wakaanza tena.Kusema kweli sijalala kabisa.
May take. Hali inaweza kujirudia tena kwa sababu jamaa hajaondoka bado yupo,Nifanye nini ili niweze kufurahia usingizi wangu.
Karibuni
 
Miezi 6 unamwangalitu dadako huyo ???ndo maana kaamua kukuleta kidume hapo .
 
Back
Top Bottom