Asalaam alaykum, Shaloom , Bwana Yesu asifiwe nawasalimu enyi ndugu zng katika Jf
Leo nimefika apa kuomba ushauri na namna ya Kuendesha mshine ya kukatia miti (Chain Saw) Kwa anaejua gharama yake
.Namna ya kuindesha kifaida
.Bei ya io mashine ikiwa mpya
.Mtu akichukua mkopo kwa kazi io inaweza rudisha
Na mengine mengi kwa ataekua na ufahamu wa ilo ntashukuru