P Patroman JF-Expert Member Joined Nov 12, 2018 Posts 809 Reaction score 1,222 Feb 14, 2021 #1 Habari I wakuu, ina mchugwa wangu nyumbani huu ni mwaka wa saba hatujawahi kuzaa tatizo nini? kuna rafiki yangu amenishauri nitafute utaalamu wa kupandishia ili uzae. Je, hii kitu ni kweli ipo?
Habari I wakuu, ina mchugwa wangu nyumbani huu ni mwaka wa saba hatujawahi kuzaa tatizo nini? kuna rafiki yangu amenishauri nitafute utaalamu wa kupandishia ili uzae. Je, hii kitu ni kweli ipo?
Narubongo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 2,768 Reaction score 2,753 Feb 14, 2021 #2 Mbegu ulitoa wapi
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 11,541 Reaction score 23,999 Feb 14, 2021 #3 Mimi namlimao mwaka wa Tisa huu usipozaa kipindi hiki cha corona naukata.