Ushauri tafadhari!!!!!!!

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Shukran Na Salam Za Dhat Kwenu Wakuu
Nko hapa kwan Nnyi Ndio Mtakao Toa Ushaur Ulio Na Busara
Nina Gf (22yr anajtegemea) Na Ndie Muathrka Mpaka Nahtaj Ushaur Wenu Wakuu

Yeye Amepewa Jukumu La Kusmamia Duka La Jamaa(29yrs) flani Hv Ambae Ameoa Na Ana Watoto Wawili
Huyu Jamaa Ana Maduka Mawil Ambayo Yamepakana Kama Mita 5 Hv,Ambapo Hlo 1 Ndilo Kaajirwa Huyu Gf Wangu Ili Asimamie Mauzo
ambapo Huyu Jamaa P1 Na Mkewe Wote Huwa Wanasaidiana Kucmamia Lile Duka La Pili Ktk Uuzaji

Sasa Mada kuu Hapa Ni Kwamba Huyu Jamaa(bosi) Naona Kama Anavuka Mipaka Kiac Kwamba Anaposafr kwenda Kujumua Bidhaa, Anayepewa Taarfa Na Majukumu Ya Duka Ni Huyu Gf Wangu Badala Ya Mkewe
Na Hata Akrud taarfa Hupewa Huyu Huyu Gf yaan Mkewe Hajui Chochote Kwamba mumewe Anaenda Wapi au Katoka Wap
Mida Mingne Anapgwa cm Mbele Ya Mkewe(kazin) Na Kuambiwa Achukue Pesa (Kazfcha Sehem flan) Na akamlipe M2 Flan
Gf Wangu Anakosa Uhuru Kwa kweli kwan inaweza Ikawa Mke Wa Jamaa(bosi) Akahs tofaut kutokana Na Haya Mambo anoyofanya Huyu mumewe.
Mke Wa Huyu bosi Ni M2 Wa Heshma Zake Mstaarabu Na Wala Hana Makuu(kwa nimjuavyo)
TAFADHAR MSHAURN GF WANGU AFANYE NIN?
Kwan dalili znaonesha Mke wa Jamaa kamaind(ingawa hajasema).

Asanten Sana Kwa Kunsoma Tafadhar Naomba Mumshaur gf Wangu.
Kaniomba Nimshaur Nikaona Niwashrkshe Magreat thnker.
 
hakuna tatizo hapo
gf wako ni muajiriwa
kwa hiyo majukumu yake ni ya kuajiriwa zaidi....

mwenye duka anaweza kabisa kuamka vibaya na kuwa amenuniana na mkewe
kwa mambo yao binafsi.....

hivyo anamtumia huyo muajiriwa ili kazi ziende

huyo gf wako hata akiacha kazi...akiajiriwa mwingine hali itabaki hivyo hivyo...

mwenye duka anajua mkewe ni 'mtumiaji wa hovyo wa pesa'
na hawezi kumdhibiti kirahisi kwa hiyo anatumia huyo 'muajiriwa' kwa hilo...
 
Hapo cha kufanya ni kuacha kazi tu, la sivyo ategemee mabaya kumkumba.
 
The Boss huyo muajiriwa afanye nini ili aeleweke mbele ya mke wa mwajiri wake?
 
Last edited by a moderator:
Kama huyu Gf anataka kuingilia ndoa yao, hapo ndio itakuwa hadithi nyingine. lakini kama anajihusisha na masuala ya kazi tu, sidhani kama ana tatizo
 
The Boss huyo muajiriwa afanye nini ili aeleweke mbele ya mke wa mwajiri wake?

hakuna cha kufanya
ahakikishe hatembei na mwenye duka
na kama mkewe akitoa amro tofauti amuulize mwenye duka....

hiyo ni kazi na kazi zote lawama kawaida
 
gf wako yupo humu jamvini???

Ili nitoe busara zaidi
 
Gf Wangu Hayuko Huku Vlvl Hajui Kswahl!
 
The Boss huyo muajiriwa afanye nini ili aeleweke mbele ya mke wa mwajiri wake?

Mimi nilpanga nimshaur a2mie m2 mzma mwenye busara Ili Awaslshe Kwa Mkewe ili Haconekane tofaut
Hlo vp wakuu?
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilpanga nimshaur a2mie m2 mzma mwenye busara Ili Awaslshe Kwa Mkewe ili Haconekane tofaut
Hlo vp wakuu?
Nao huo ni uamuzi mzuri, lakini subiri ushauri zaidi wa wadau.
 
Ukwel up mkuu? Njuze!!

kuhusu huyo GF wako mwambie akwambie ukweli kwani ni vigumu vitu hivyo viwe vinatendeka kwa kisingizio cha kazi .(yaani kuajiriwa)..mimi nazani ameamua kijidefend kwako ili kikinuka usishituke......amka mkuu
 
Duh!Nalo Neno..
 
ndio mie nikauliza yupo hapa, ili ajibu baadhi ya maswali ambayo mleta mada najua hawezi yajibu.

Hii cd inaruka sana.

Inawezekana 7bu Ikawa Hyo lkn u2miaj Gan Wa Pesa Ilihal Duka La Pili uendelezwa Na Mkewe Ktk Uuzaj..c Angekuwa Anafunga Pnd Akisafri?
Ili kumdhbt mkewe
 
ndio mie nikauliza yupo hapa, ili ajibu baadhi ya maswali ambayo mleta mada najua hawezi yajibu.

Hii cd inaruka sana.

KONGOSHO ulza Kwan Kwa Namna Nyngne Yatanpa Uelewa Zaid Wa Suala Hl
Nitayajbu kuptia yeye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…