Ushauri: TAMISEMI ina haja ya kuwa na Mawaziri Watatu?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu kulingana na Madudu yanayoendelea Tamisemi, Hii wizara ya TAMISEMI ilitakiwa kuwa na mawaziri WATATU.
.
Hoja yangu ni kwamba TAMISEMI TECHNICALLY INAUNGANISHA WIZARA ZOTE.
.
SO Inahitajika mtu mwenye CAPACITY KUBWA SANA YA KUFANYA COORDINATIONS YA VITU VYOTE.
.
Otherwise MAWAZIRI WATATU WANAFAA.


Alafu pia TAMISEMI siyo wizara ya kisiasa ni 100% Management
 
TAMISEMI Ni kama wizara ni ndogo lakini KIUTENDAJI NI WIZARA KUBWA SANA.
 
Madudu yapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…