Mimi ni mwekezaji katika sekta ya utalii kanda ya ziwa lakini jambo linalokatisha tamaa ni kuwa ukanda huu pamoja kuwa na Hifadhi za Taifa za Burigi Chato, Serengeti, Sanane, Rubondo Kimisi, Rumanyika lakini hakuna jengo na raslimali watu inayoakisi nia ya serikali kuendeleza utalii wa kanda hii. Pamoja na jitihada zake binafsi Rais bado kuna jaja ya kujenga miundo mbinu zaidi kwa hili.
Nashauri ijengwe ofisi ya kimkakati Mwanza, Geita na maeneo km Chatto ambako Serikali imeanza kuwekeza kuvutia uwekezaji na utalii.
Aidha kuna haja ya kuangalia uwezekano wa kujenga kituo kimgine cha uwekezaji ili kuvutia uwekezaji.
Mchango wa kanda hii kwenye GDP ni mkubwa mno wakati tupo kwenye uchumi wa kati kuna umuhimu wa kuboresha maeneo kadhaa ya kimkakati kiuchumi.
Ushauri huu usitafsriwe kuwa ni upemdeleo bali ni ushauri unaozingatia uhalisia.