chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Inafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Balozi za Uingereza na Marekani zinatoa vipeperushi na kusambaza dunia nzima kwamba Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, corona imetapakaa na mahospitali yamezidiwa wagonjwa.
Kauli hizi zinaingilia taratibu za nchi yetu, na in tabia za kibeberu na kizandiki.
Dawa in moja tu, wafukuzwe na balozi zao zifungwe kwa muda usiojulikana.
Nashauri UVCCM kwa kushirikiana na MATEGE wafanye maandamano ya amani kwenda kwenye balozi hizo wakiwa na mabango yenye laana dhidi ya mabeberu hawa.