Haya boss, za kuambiwa changanya na za kwako!Pesa za ndani tumekusanya nyingi kuliko wakati wowote tangu uhuru
Nchi sio sawa na familia yako ya mke na mtoto,tumia akili japo kidogoPesa za ndani tumekusanya nyingi kuliko wakati wowote tangu uhuru
True Kisha tugome kabisa kupokea misaada yao sisi ni Dona country hatujaribiwiInafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Balozi za Uingereza na Marekani zinatoa vipeperushi na kusambaza dunia nzima kwamba Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, corona imetapakaa na mahospitali yamezidiwa wagonjwa.
Kauli hizi zinaingilia taratibu za nchi yetu, na in tabia za kibeberu na kizandiki.
Dawa in moja tu, wafukuzwe na balozi zao zifungwe kwa muda usiojulikana.
Nashauri UVCCM kwa kushirikiana na MATEGE wafanye maandamano ya amani kwenda kwenye balozi hizo wakiwa na mabango yenye laana dhidi ya mabeberu hawa.
Bosi anuniwi,ombaomba abagui helachinembe,
Tuwafukuze na tuone 40% ya bajeti yetu itakuwaje!
Ni kweli tunatakiwa tukemee hii hali,au kufanya hata maandamano ya kupinga wanachokifanya,ila kufunga hizo balozi iwe ni hatua ya mwisho sana...Inafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Balozi za Uingereza na Marekani zinatoa vipeperushi na kusambaza dunia nzima kwamba Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, corona imetapakaa na mahospitali yamezidiwa wagonjwa.
Kauli hizi zinaingilia taratibu za nchi yetu, na in tabia za kibeberu na kizandiki.
Dawa in moja tu, wafukuzwe na balozi zao zifungwe kwa muda usiojulikana.
Nashauri UVCCM kwa kushirikiana na MATEGE wafanye maandamano ya amani kwenda kwenye balozi hizo wakiwa na mabango yenye laana dhidi ya mabeberu hawa.
Tuko pamoja,Naunga mkono hoja.
Nami hili niliwahi kushauri
Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state - JamiiForums
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali? - JamiiForums
Swali linabaki, can we stand?.
P
Ukiwafukuza na wao wakigoma kuleta sukari. Si mtahaha kama juzi hapa. Sukari tu inawashinda mpaka muagize nje.Inafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.