Ushauri: Tatizo la kuvuja / kupasuka kwa Chupa ya Uzazi wakati Mimba ina miezi sita kasoro

Ushauri: Tatizo la kuvuja / kupasuka kwa Chupa ya Uzazi wakati Mimba ina miezi sita kasoro

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,106
Reaction score
14,353
Ndugu wana wana JamiiForums,

Dada yangu ana mimba ya miezi 6 kasoro, ila majuzi chupa yake ya uzazi imepasuka na inamwaga sana maji mfululizo ukeni, ila hasikii maumivu na akaandikiwa sindano. Dokta kasema baada ya siku 2 hali yake itakuwa safi ila hapaswi kufanya kazi yeyote.

Je, anaweza akaja kujifungua salama? Na nini tatizo hadi chupa ipasuke kabla ya wakati wake?

Naomba ushauri wanaJF wenzangu..
 
Back
Top Bottom