Ushauri wa dr haujakutosha
Si vibaya akipata ushauri zaidi humu jamvini, ujue nao madoctor wengi hawana mda wa kuongea na mgonjwa kwa kirefu yani unapewa ushauri tu wa haraka awahi mambo mengine.
Waters breaking early (PPROM) and premature birth - Tommy's
Kama unatafuta information zaidi use the internet. Anza na hiyo.