Ushauri TCU Transfer

kibigolo10

Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Jaman wana jamii forum naomben msaada ni hivi mm nmeghairi na hizo transfer za tcu maana zmekuja late na huku chuon wamening'ang'ania. So itakua na madhara nikiacha? Naomben
 
hivi mfano mtu kapata transfer ya nursing na anavigezo vya kusoma pharmacy je anaweza kufika chuoni akabadili kozi????
 
hivi mfano mtu kapata transfer ya nursing na anavigezo vya kusoma pharmacy je anaweza kufika chuoni akabadili kozi????

Inawezea ili mradi uwahi zile wiki tatu za mwaanzo baada ya chuo kufunguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…