Intended
Member
- Sep 24, 2018
- 64
- 89
Ndugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Ningependa kutoa ushauri kwa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)na vyuo husika kutokana na zoezi la udahili wa wanafunzi lilivyokuwa likiendelea wakati zoezi likiendelea.
Baadhi hawakuchaguliwa round ya kwanza ya pili na ya tatu pasipo kuelezwa sababu ya kutokuchaguliwa kwao huku wakiwa na vigezo vyote vilivyowekwa na TCU na vyuo husika na kumuacha muhusika njia panda.
Mwanzo katika awamu zote nilidhani labda ni wingi wa wadahiliwa lakini cha ajabu imefunguliwa awamu ya nne vyuo husika vinaonesha nafasi bado zipo katika kozi hizo hivyo watu waendelee kutuma maombi sasa tunashindwa kuelewa mtu ametuma awamu zote tatu bado amekosa nikidhani labda nafasi ni chache lakini inaonekana nafasi bado zipo.
Ningependa kuwashauri TCU wawe wanatoa comment labda wewe hujachaguliwa awamu hii kwasabubu kadhaa.