Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Tuondoe ushabiki ushabiki wa Simba na Yanga na kadhalika
Wekeni moyo mmoja wa kusaidiana kusajili wachezaji wazuri katika nafasi zote ikiwezekana kuanzia KIPA, MABEKI, VIUNGO NA WASHAMBULIAJI MATATA wenye uwezo mkubwa wa kushindana mashindano makubwa ya kimataifa ngazi zote, ikiwezekana tengeni bajeti nzuri kwaajili ya hili zoezi.
Tengenezeni kamati nzuri za ufundi katika timu kuhakikisha matokeo mazuri yanapatikana ndani ya uwanja na nje ya uwanja.
Tumejifunza kupitia Simba na timu zingine za nje hasa TP Mazembe na wengineo jinsi walifanya usajili mzuri na kadhalika
Ushauri wowote wenye manufaa mnaweza kuchangia hapa ili mdau yeyote akipita hapa achukue mawazo apeleke kwenye klabu kuyafanyia kazi
Natamani timu yoyote inayowakilisha nchi zifike mbali zote ikiwezekana Klabu Bingwa, CAF na Shirikisho.
Tunaweza
Sent using Jamii Forums mobile app