Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kabla ya uchaguzi wa 2015 mlikuwa na nguvu sana mikoa ya Mwanza, Mara na Geita. Mlishinda chaguzi na kupata mafiwani, wenyeviti wa vijiji , vitongoji na hata Wenyeviti wa serikali za majiji.
Kanda ya Nyasa mmerejesha imani yenu kwa wananchi. Sasa komaeni na Kanda ya Ziwa. Hata kama Diallo alitamka hadharani kuwa kura zinaibiwa 2025 mtapata kitu cha maana.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa