Ushauri Toyota cami or Suzuki swift

T-bane

Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
79
Reaction score
159
Wadau, poleni na majukumu!

Naomba mnipe ushauri murua kabisa kulingana na uzoefu wenu uliotukuka kuhusu magari.

Mimi nataka kuagiza gari direct kutoka japani (sitaki kununulia yard za hapa Dar ). Naombeni ushauri wenu kuhusu ubora, uimara na ulaji wa mafuta katika magari yafuatayo:-

1. TOYOTA CAMI

2. SUZUKI Swift
 
Chukua 1st kaka au swift kwani ni gari ngumu na hazisumbui ila Cami ndio ipo juu kidogo bali gear box yake inasumbua sana
 
We umeipenda ipi..
 

Mimi natumia suzuki swift new model, achana na hii ya miss tanzania aliopewa juzi. The car kwanza is daim sexy yaani, muonekano wa nje na ndani, fuel consumption ni very minimum, natumiaga AC ila with 30,000 naenda job monday to friday sheli cmjui na nakaa Airport. Haisumbui sumbui engine( hii ni auto). Shida zake ni mbili. 1. Iko chini sana, kama unakaa sehemu barabara ni msiba, I don't advise. 2. Spare zake ni expensive. Kama plug zile za umeme mmoja ni 35,000 wakati kwa toyota mmoja ni 10,000. Ila overall it is a very nice car
 
Mkuu asante kwa ushauri wako! sasa hiyo new model unayosema ni ya mwaka gani? I mean toleo la mwaka gani hilo kiongozi.
 
Mimi ni muuzaji magari kaka,

Unaweza kuona baadhi ya post zangu humu.


Nami nikuunge mkono, Ist ni sawa, tofauti na hizo mbili

Sababu yenyewe ina mvuto na pia ni imara.

Kuhusu transmission,
Sio kweli kwamba gari za automatic zinasumbua, labda kama ni kwa gari kubwa ya kupakia abiria

Ambayo inafanya kazi kuanzia asubuhi hadi usiku
Lakini kwa hizi gari za kawaida, haina shida kabisa.
 
Ca swift kalivyo...hapana aisee

Cami nakaona kamejibana mno

Bora hata ist.....

Ila why manual? Kisa cha????

(Happ mie nimebase kwa muonekano, ingawa vyote havili mafuta kivile)
 
Cami gear box itakutesa kwa hali hii ya uchumi nakuahauri nunua 1st kaka hutaumia kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…