Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Wale waliokuwa vijana wa Mbowe ndani ya Chadema. Sasa nadhani ni bora kurudi katika chama. Wakubali kuwa Mbowe muda wake ulishapita. Kila zama na nabii wake.
Sasa wawekeze nguvu nyingi kuipambania Chadema kama Chama Mbowe hana jipya kwa sasa. Nadhani watakuwa wame recover. Nawaona bado kama wanaweweseka hivi.
Sasa wawekeze nguvu nyingi kuipambania Chadema kama Chama Mbowe hana jipya kwa sasa. Nadhani watakuwa wame recover. Nawaona bado kama wanaweweseka hivi.