Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Lusungo Retired Molemo TrueVoter Na waambiwe kabisa hakuna kuhama chama.Wale waliokuwa vijana wa Mbowe ndani ya Chadema. Sasa nadhani ni bora kurudi katika chama. Wakubali kuwa Mbowe muda wake ulishapita. Kila zama na nabii wake.
Sasa wawekeze nguvu nyingi kuipambania Chadema kama Chama Mbowe hana jipya kwa sasa. Nadhani watakuwa wame recover. Nawaona bado kama wanaweweseka hivi.
Kuwa na adabu we kenge na muweke akiba ya maneno…. Huyo mhuni wenu soon atakimbilia ubelgiji awaache kwenye mataa!!
Tena nashangaa hadi leo yupo hajaenda Ubeligiji, na hata akienda hakuna tatizo maana maisha yetu hayamtegei yeye, awe hapa nchini ama nje ya nchi. Hata hivyo bora huyo kuliko yule aliyataka kufia madarakani.Kuwa na adabu we kenge na muweke akiba ya maneno…. Huyo mhuni wenu soon atakimbilia ubelgiji awaache kwenye mataa!!
Njaa kali. Hamia kwa Mbowe omba akupe hata kamnyweso unyweselewe. Kubalini matokeo mtafute na kazi. Nyama za bure ,pombe na .....Kuwa na adabu we kenge na muweke akiba ya maneno…. Huyo mhuni wenu soon atakimbilia ubelgiji awaache kwenye mataa!!