Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Naomba mnisadie hili jambo.
Nimedumu na mpenzi wangu kipenzi kwa muda wa miaka mitatu mpaka sasa.
Tuna ndoto kubwa ya kuja kuwa wanandoa muda si mrefu, lakini katika miaka mitatu mimi "male" sijawahi kufika nyumbani kwake.
Yeye mara kwa mara huja nyumbani kwangu kunitembelea, sasa amekuwa akinilalamikia mara kwa mara kwa nini siendi kwake? Kiufupi mimi huwa sina tabia ya kwenda kwa mwanamke ndio msimamo wangu nilio jiwekea.
Naomba mnipe ushauri vijana wenzangu kwa huu msimamo wangu unaweza kuathiri chochote kwenye mahusiano yetu? Ahsanten 🙏🙏