Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Ahsante kwa ushauri mzuri.Kama yeye anakukaribisha na unakataa, siyo mbaya sana.
Ila ujue kuna confidence unajipotezea.
Hujawahi kwenda kwake for 3 good years, hujui anaishi na nani, hujui anaishije ishije.
Jiulize swali moja, akipata tatizo hapo nyumbani kwake unadhani atakupigia wewe ukalitatue wakati anajua hutaenda?
Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinakuwa fixed na wanaume kwenye nyumba, hivyo ungekuwa umepafanya pale kama kwako ungeweza kuwa msaada kwa hayo.
Kwa wewe kutoenda, jua kuna mwanaume anayefanya hizo kazi.
Ahsante kwa ushauri mzuri.
hapana haiwezi kuathiri kitu hata ukikaa miaka kumi.kwani ni wewe unaemlipia kodi?
Hapana anajilipia mwenyewehapana haiwezi kuathiri kitu hata ukikaa miaka kumi.kwani ni wewe unaemlipia kodi?
unamuita mchumba umemlipia mahari??familia zenu zinatambuana??au umekurupuka huko uliko mkaenda kukutanisha miili yenu ghafla akawa mchumbaπ π hatari sanaπHapana anajilipia mwenyewe
Dah nimechekaunamuita mchumba umemlipia mahari??familia zenu zinatambuana??au umekurupuka huko uliko mkaenda kukutanisha miili yenu ghafla akawa mchumba[emoji28][emoji28]hatari sana[emoji28]
Kaa hata miaka ishirini usijali.kwanza si vyema mchumba mwanaume kwenda nyumbani kwa mchumba mwanamke[emoji38][emoji38]
ππππunamuita mchumba umemlipia mahari??familia zenu zinatambuana??au umekurupuka huko uliko mkaenda kukutanisha miili yenu ghafla akawa mchumbaπ π hatari sanaπ
Kaa hata miaka ishirini usijali.kwanza si vyema mchumba mwanaume kwenda nyumbani kwa mchumba mwanamkeππ
πππππ"Kukutanisha vikojoleo"
Sijakuelewa mkuu?Anakudanganyaga nini hadi ufiki kwake?
Kama Mimi ambavyo sijakuelewa, na Leo hii ndio sikukuu yenuSijakuelewa mkuu?
πππ Mwisho saa nne umechelewaKama Mimi ambavyo sijakuelewa, na Leo hii ndio sikukuu yenu
πππ Mwisho saa nne umechelewa
hahaahaha you nailed his ass to the wall