Ushauri; Uandaaji wa matamasha ya michezo (Simba/Yanga n.K) ushirikishe mashabiki

Ushauri; Uandaaji wa matamasha ya michezo (Simba/Yanga n.K) ushirikishe mashabiki

syndicate

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2016
Posts
238
Reaction score
391
Hello! Nafikii ifike pahala matamasha haya ya simba na yanga, ili kunoga na kuwa yenye mvuto ndani na nje! KAMATI itanuliwe kwa maana timu hizi zishirikishe maoni na mawazo mazuri maalum kutoka kwa mashabiki wao!

Hili linawezekanaje!?
Kufungua dirisha maalum la maoni kwenye mitandao yao ya kijamii ikiwemo JF, IG, twitter, FB na thread ambapo maoni ya wataalam kama sound engineers, entertainment experts, event setters, na wengineo wapate nafasi ya kuongeza utam wa matamasha aya!

Whatsoever will take lakini kamati peke yake haziwezi kugusa kila eneo na ndomana watu baada ya haya matamasha wanatoa dosari mbalimbali!

Naamini hii itasaidia sana hata kwenye kuongeza mapato nje ya uwanja!
Wabunifu watapata nafasi ya kuonyesha vipaji vyao na kugeuza ubunifu kuwa fursa za kibiashara!

Ubunifu wa burudani ukiwa mkubwa itapunguza mambo ya kisiasa kutawala matamasha haya!
NAWASILISHA!
 
Back
Top Bottom