Ushauri: Ubora na Udhaifu wa kutumia milunda badala ya mbao kupaua

Ushauri: Ubora na Udhaifu wa kutumia milunda badala ya mbao kupaua

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
787
Reaction score
1,056
Mafundi na wazoefu wa ujenzi,
Naomba mnisaidie mwongozo juu ya kutumia milunda kwenye suala zima la kupaua,

Ubora au Udhaifu wake upoje ikilinganshwa na kutumia mbao?
 
Ujenzi huku mwanzoni sio shida mchanga, mawe, kokoto, maji n.k
Kuanza plaster, blundering, wirering, skimming, roofing, milundaring utaelewa tu
 
Back
Top Bottom