Palamana Ntweko
Member
- May 13, 2014
- 19
- 7
Wadau naomba ushauri juu ya uimara wa Mitsubishi Pajero io , Body na utendaji kazi wa Injini yake.
Picha yake nimeambatisha .
Picha yake nimeambatisha .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha kumtisha ,mimi ninayo mwaka wa 3 sasa na mafuta ninaweka hovyo hovyo kwenye petrol station yoyote ile ninapokuwa nimeishiwa mafuta sijawahi pata hilo tatizo,ingawa hata mimi kabla sijanunua niliwahi kuambiwa story inayofanana na hiyo.hiyo gari tatizo lake kubwa ni moja tuu?? mafuta MAFUTA MAFUTA MAFUTA ni bora hata toyota zenye engine ya D4 zinaweza zikawa na roho ngum lakini sio GDI hiyo ukiweka mafuta ya kidebe au yaliyochakachuliwa au ,afuta ambayo sio kiwango inakugomea hapo hapo hainaga urafiki wala huruma.
na gdi pump zake huwa zinaharibika haraka sana ukiweka mafuta mabaya??hivyo kama upo mkoa ambao kupata uhakika wa mafuta mazuri ni ishu aisee usiichukue.watakuja wengine wakisema gari hiyo ni ugonjwa wa moyo waulize kwa nini??
mbali na hayo ni gari nzuri sana matumizi ya mafuta iko powa sana sema inahitaji ufanye service kwa wakati gari inaweza ikakosa nguvu haibadili gia kisa airclener tu chafu?.
ni aina ya gari amabayo inatumia umeme mwingi.
Sio gari ya kutisha kihivyo. Nimeitumia miaka miwili na ushee bila shida. Nimeweka sana pia mafuta ya vidumu kule Mvuti na maeneo ya jirani. Nimeiuza mwanzo wa mwaka huu ikiwa bomba kabisa, nimebadili nimechukua Nissan.hiyo gari tatizo lake kubwa ni moja tuu?? mafuta MAFUTA MAFUTA MAFUTA ni bora hata toyota zenye engine ya D4 zinaweza zikawa na roho ngum lakini sio GDI hiyo ukiweka mafuta ya kidebe au yaliyochakachuliwa au ,afuta ambayo sio kiwango inakugomea hapo hapo hainaga urafiki wala huruma.
na gdi pump zake huwa zinaharibika haraka sana ukiweka mafuta mabaya??hivyo kama upo mkoa ambao kupata uhakika wa mafuta mazuri ni ishu aisee usiichukue.watakuja wengine wakisema gari hiyo ni ugonjwa wa moyo waulize kwa nini??
mbali na hayo ni gari nzuri sana matumizi ya mafuta iko powa sana sema inahitaji ufanye service kwa wakati gari inaweza ikakosa nguvu haibadili gia kisa airclener tu chafu?.
ni aina ya gari amabayo inatumia umeme mwingi.
Mkuu acha kumtisha ,mimi ninayo mwaka wa 3 sasa na mafuta ninaweka hovyo hovyo kwenye petrol station yoyote ile ninapokuwa nimeishiwa mafuta sijawahi pata hilo tatizo,ingawa hata mimi kabla sijanunua niliwahi kuambiwa story inayofanana na hiyo.
wakuu mm sijamtisha bali nimemwambia coz GDI na D4 lao ni moja na ubovu au usumbufu wa hizo engine ni kwenye mfumo wa mafuta tuu basi sio mara 1 au 2 watu zinawazingua kwa kuweka mafuta mabaya.Sio gari ya kutisha kihivyo. Nimeitumia miaka miwili na ushee bila shida. Nimeweka sana pia mafuta ya vidumu kule Mvuti na maeneo ya jirani. Nimeiuza mwanzo wa mwaka huu ikiwa bomba kabisa, nimebadili nimechukua Nissan.
LEGE, huu ushauri wako ni sahihi kabisa. GDI ni gari isiyotaka mafuta ya hovyo kabisa kama unataka iwe kwenye kiwango na isikusumbue. Hao waliosema walikuwa wanaweka mafuta ya vidumu, ni mambo ya kubahatisha, inawezekana walibahatisha masafi. GDI io zina fuel pump mbili, moja low pressure pump(LPP) na nyingine High pressure pump(HPP). Unapoendesha hii gari chini ya 50km/hr, LPP inatumika. Ukiongeza speed zaidi ya hapo, HPP inafungunguka ili kulipa gari nguvu zaidi.wakuu mm sijamtisha bali nimemwambia coz GDI na D4 lao ni moja na ubovu au usumbufu wa hizo engine ni kwenye mfumo wa mafuta tuu basi sio mara 1 au 2 watu zinawazingua kwa kuweka mafuta mabaya.
pili kuhusu service lazima ufanye kwa wakati nazani nyie hilo mlikuwa mnazingatia coz gari nyingi za mfumo wa d4 hasa GDI ukipitisha sana service na engine ikijenga uchafu kama ukoko itakusumbua sababu kwenye pump ya engine huwa unajaa huo uchafu na kufanya pump ishindwe kupress mafuta vizuri na yanakosa preesure ya kutosha na hapo ndio gari hushinda gereji.
mm nilikuwa nampa ushauri kwa upande wa pili
Ndugu, Nissan hawana model inayoitwa Big Horn, umechanganya na Isuzu Big horn labda. Cheki upya taarifa zako.SWALI LA NYONGEZA
1. Kwakuwa body lake ni imara sana na linavutia kama lilivyo body la NISAN BIGHON na kwakuwa magari haya yote mawili kiuhalisia hapa bongo yamewashinda wengi achilia mbali bei rahisi yanaouzzwa, Je ! mh. spika naweza kubadili engine na gear box na kuweka za toyota iliyozoeleka hapa bongo kwa upatikanaji wa spea na hayachagui mafuta?
Ni kweli nimekosea , sasa nijibu swali kama inawezekana kuweka engine na gearbox nyingine maana kwa sura ni zuri, kubwa, na iko juu lakini inamalamikiwa sana kwamba tatizo lake kila siku utakuwa mteja wa mafundi.Ndugu, Nissan hawana model inayoitwa Big Horn, umechanganya na Isuzu Big horn labda. Cheki upya taarifa zako.
Gari ipi unayotaka kuichakachua engine? Mwagika usaidiweNi kweli nimekosea , sasa nijibu swali kama inawezekana kuweka engine na gearbox nyingine maana kwa sura ni zuri, kubwa, na iko juu lakini inamalamikiwa sana kwamba tatizo lake kila siku utakuwa mteja wa mafundi.
Mkuu low pressure pump iko sehemu gani kwenye engine au tank?LEGE, huu ushauri wako ni sahihi kabisa. GDI ni gari isiyotaka mafuta ya hovyo kabisa kama unataka iwe kwenye kiwango na isikusumbue. Hao waliosema walikuwa wanaweka mafuta ya vidumu, ni mambo ya kubahatisha, inawezekana walibahatisha masafi. GDI io zina fuel pump mbili, moja low pressure pump(LPP) na nyingine High pressure pump(HPP). Unapoendesha hii gari chini ya 50km/hr, LPP inatumika. Ukiongeza speed zaidi ya hapo, HPP inafungunguka ili kulipa gari nguvu zaidi.
Hii pump ya HPP ndani imetengenezwa kwa mtindo ambao kukiingia uchafu wa aina yoyote, inashindwa kusukuma mafuta kwa ile nguvu iliyohitajika, matokeo yake ni gari kukosa nguvu kabisa haswa unapotaka kuongeza mwendo zaidi ya 50km/hr.
Ukweli ni kama ulivyosema, hizi gari ni nzuri sana, very Comfortable na zina speed mno. Ila ili ulifurahie ni lazima masharti yazingatiwe. Spare zake watu wanasema ni ghali, ni kweli ila sio kivile, uzuri ni kwamba ukipata Og. unafunga na kusahau.
Hii gari ninayo mwaka wa tano sasa, mwanzoni nilikuwa ninatumia Suzuki sikuifurahia kama hii.
Kwenye tankMkuu low pressure pump iko sehemu gani kwenye engine au tank?
Post sent using JamiiForums mobile app
Ahsante Mkuu niko na fundi hapa tunajaribu kuifungua ili isafishwe.Kwenye tank
Gari nzuri sana hii, na mimi najichanga mwaka kesho niivute.Wadau naomba ushauri juu ya uimara wa Mitsubishi Pajero io , Body na utendaji kazi wa Injini yake.
Picha yake nimeambatisha .View attachment 411896