Ushauri: Ujasirimali na HR management


wewe unataka kumpotosha mwenzako wewe.
 

Kampuni yako inajishughulisha na nini?mtu ambae yuko commited utamjua tu from the scratch
 
Ktk private sector mshahara lazima uwe mzuri ila kazi zinakuwa nyingi kiasi hakuna muda wa kuplan kuondoka labda nje ya kazi. Pia huwa wanaajiri professionals kwani hawataki kuingia gharama kusomesha, akisomesha ni one week zisizo na cheti. Ushauri wangu lipa vizuri, ajiri watu sahihi na kwa kazi maalumu, nenda kasomee project management ujue jinsi ya kuwa manager mzuri etc na TOT ya unavyowatrain hakikisha train inakuwa ni part ya kazi sio kitu cha kufanya module zote kila mwezi stage hii nk. Delegate some roles to get views from your staff why they leave: ajiri HR na mwachie baadhi ya majukumu na usikilize ushauri wake.
 
nakupa ushauri wa bure.ajiri graduate mmoja mlipe mara mbili ya wenzake ,ao wenzake wawe form six failure au form four failure ila wawe na upeo i mean walifeli mtihani ila wanajua lugha kujieleza ,confidence na eager to learn new things faster
huko voda na tigo wanaajiri graduate hadi customer care so hawataenda popote ila make sure huyo graduate anapata zaidi ya wenzake ili asishawishike
 

Jifunze namna ya kuwamiliki sio kulalamika - kwa vyovyote wanatafuta sehemu yenye maslahi zaidi na jingine sehemu inaweza kuwa na maslahi kidogo lakini mazingira ya kazi yakawa mazuri mtu akakomaa hapohapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…