Habari za weekend wadau. Nimetokea kupenda design hii ya dali ambayo miti na zege vimetumika kuremba muonekano. Je kwa wataalam ni miti gani inafaa?. Nini hasara na faida ya ujenzi huu (gharama vs steel reinforcement, mazingira, uwezo wa kudumu n.k) ?
Kama unaishi mkoa wenye baridi sawa, ila kama ni kwenye mikoa ya joto shauri yako, hizi dari ni asili huko mkoa wa njombe, na nyumba yake angalau huwa na joto, kiasili wanatumia udongo na miti au mabanzi.