Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,410
- 1,325
Wadau namalizia ujenzi wa kibanda changu na sasa nipo kwenye ujenz wa fensi ya tofali. Napata kigugumizi nijenge fensi ya namna gani kati ya ile yenye kuta ndefu kwenda juu kiasi mtu wa nje haoni chochote zaidi ya ukuta huo na ile yenye uwazi na mianya/nafasi za uwazi kiasi mtu wa nje anaona ndani bila tatizo.