Wadau namalizia ujenzi wa kibanda changu na sasa nipo kwenye ujenz wa fensi ya tofali. Napata kigugumizi nijenge fensi ya namna gani kati ya ile yenye kuta ndefu kwenda juu kiasi mtu wa nje haoni chochote zaidi ya ukuta huo na ile yenye uwazi na mianya/nafasi za uwazi kiasi mtu wa nje anaona ndani bila tatizo.

Kama hutegemei kuwa na uhasama na mtu au hutegemei kuwa mwanasiasa jenga yenye urembo na upate hewa ya kutosha.Kama unategemea kuwa na mojawapo ya hayo ni niliyotaja jenga futi 14 kama Israel na Palestina walivyojenga mipakani mwao.Wadau namalizia ujenzi wa kibanda changu na sasa nipo kwenye ujenz wa fensi ya tofali. Napata kigugumizi nijenge fensi ya namna gani kati ya ile yenye kuta ndefu kwenda juu kiasi mtu wa nje haoni chochote zaidi ya ukuta huo na ile yenye uwazi na mianya/nafasi za uwazi kiasi mtu wa nje anaona ndani bila tatizo.