Ushauri :ukikosa mkopo usiache chuo


mkuu kama unapata mkopo asilia sifuri ni tofauti kabisa na nil kama ungekuwa na nil sijui ingekuwaje maana nil ni soo...
 
Nikipewa mkopo chin ya 70% chuo siend bora nifanye michongo mingine nikipata pesa ntasoma open.ajira yenyewe hailewek 2mejaza coz ambazo ha2jui future yake kisa priority alaf et nipewe mkopo mdogo niongezee 2 pesa alaf ajira ije inisumbue
 
ukiwa unapenda sifa kuwa mwepesi kukumbuka maneno yaku hamna thread ulikuwa unajisifia wewe ni engeneer mtarajiwa na ile ile thread mnakandia vyuo vingine nyie kama IFM .wewe na zeduduz01.mimi nilikuambia tu kama mdogo wangu hayo mambo sio watu wengi wanatoka kupitia huko mnakopaona feki nikumshukuru mungu kwa kile lichokupatia sawa!!!!masomo mema.
 
daima ntasimamia nachokiamini...sijawahi kukandia chuo cha mtu yeyote hapa duniani!!! ulichosema nimekielewa na umeeleweka...sitaki kupoteza mda kubishana na wewe kwa mambo yasiyo na tija....ila kumbuka kushikisha akili yako unapoandika kitu...mda mwema...
 
nil without support bora utafute michongo ya kufanya maana kupata supp itakua kitu cha kawaida
 
Kuna huu ugonjwa 'no loan non-priority',yani hapo hakuna cha boom wala bomu
 

Oya Mkuu nimekukosea nini? Kwa Iyo mimi ni mzee kisa kwenda kusoma kozi niliyochagulia aya bhana tutakutana kwenye maisha tena itakuwa pouwa sana ukinipa ur contacts
 
Usiwashauri vibaya wenzako, Kama huna namna ya kupata pesa kabisa mimi nakushauri usiende chuo kikuu endapo utakosa mkopo. La sivyo utaishia kuwa kibaka, shoga au malaya.

Cha kufanya, nenda kasome fani yenye kuhitaji ada kidogo( kama Dip ya kufundisha), au katafute tempo za six leaver. Kusanya mtaji huko ili baadaye ujilipie ada chuo kikuu. Maisha ya sasa sio kama zamani huko chuo kikuu
 

usikurupuke ndugu,... Soma main post uelewe anamaanisha nini....
*0(zero)-loan ''''hulipiwi ada na field ila utapata subsitance money'''
*-(nil) hupewi hata thumni..
SO ANASEMAAA WATAKAOPATA ZERO WANAWEZA WAKAJIBANA WAKAPATA NA KAJIADA HUMOHUMO KWENYE HELA YA KUJIKIMU
 
NAKWAMBIA KWASABABU NINA EXPERIENCE ndugu yangu ushauri wako ni wakuua kabisa yaani tempo ndio upate ela ya ada daah thinking capacity yako ni 1.1mb
 
NAKWAMBIA KWASABABU NINA EXPERIENCE ndugu yangu ushauri wako ni wakuua kabisa yaani tempo ndio upate ela ya ada daah thinking capacity yako ni 1.1mb

Kijana maisha yanabadilika tangu zamani na ndio maana wewe huna mkia tena, sembuse utaratibu wa bodi? usidanganye watu wakapoteza muda na rasilimali kidogo walizonazo bila kufikia malengo. wewe thinking capacity yako no 6000GB. umenizidi mara ngapi?
 

Life and things have changed nowdays, take it from me
 
Kijana maisha yanabadilika tangu zamani na ndio maana wewe huna mkia tena, sembuse utaratibu wa bodi? usidanganye watu wakapoteza muda na rasilimali kidogo walizonazo bila kufikia malengo. wewe thinking capacity yako no 6000GB. umenizidi mara ngapi?
sipotezi muda wangu kubishana na wewe WE TOKA POVUUU ila habari ndio iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…