Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa jwtz. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali.
Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa wananchi.
Na hiki kikokotoo kimewagaragaza mapolisi na kuwaacha wanajeshi.
Wanasema inamaana kama kikokotoo ni kizuri kwanini hayo mema wasipelekewe pia maaskari na maofisa wa jwtz?
Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi nakuomba acha ujuaji, utakufa.
Akili za mtu mweusi ni za ajabu sana, kwa hiyo ukiuziwa na mwajiri wako huko kazini,hasira zako zote unaenda malizia kwa wanao!? Au unatakiwa umface mwajiri wako ajibu hoja zako!?Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa jwtz. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali.
Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa wananchi.
Na hiki kikokotoo kimewagaragaza mapolisi na kuwaacha wanajeshi.
Wanasema inamaana kama kikokotoo ni kizuri kwanini hayo mema wasipelekewe pia maaskari na maofisa wa jwtz?
Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi nakuomba acha ujuaji, utakufa.
Sahihi sahihi.Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa jwtz. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali.
Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa wananchi.
Na hiki kikokotoo kimewagaragaza mapolisi na kuwaacha wanajeshi.
Wanasema inamaana kama kikokotoo ni kizuri kwanini hayo mema wasipelekewe pia maaskari na maofisa wa jwtz?
Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi nakuomba acha ujuaji, utakufa.
Mimi sio polisi wala sina ndugu wa damu ambaye ni afisa au askari wa jeshi la polisi. Nawapa tu ushauri.
Yaani wakiwa kazini wanawaza pesa tu. Mengine ni ziadaJeshi la Polisi halina weledi halina vision wao ndio wenye haki wao ndio wenye nguvu wao wana chuki na wananchi hata sielewi kwa nini sijui sheria ya kukupiga sijui waameipta wapi na wabunge walivyokuwa wapumbavu hata kuuliza bungeni sheria ya kumpiga raia kwa jeshi la polisi wameipata wapi pale wanapomkamata au polsi ukumauliza kosa langu kitu gani yeye anachojua ni kukupiga tu nafikiri hata yeye mwenyewe hajui mambo haya yatakwenda mpaka lini .Jeshi la polisi kajifunzeni uweli na muwe creative wa kuingiza pesa na sio kuchukua Rushwaaa.
kuna mtu nilimwambia CCM itakuja kuangushwa na polisi akacheka.Moral of the story ni divide and rule.
Hii njia walitumiaga wakina nani Wafaransa au Wabelgiji? Wazee wa history nikumbusheni
achana na siasa mkuu chukua mbinu ya mletamada hapo juu,huu weledi wameukosa CCM unautaka kwa wapwa zao polisi!!!Jeshi la Polisi halina weledi halina vision wao ndio wenye haki wao ndio wenye nguvu wao wana chuki na wananchi hata sielewi kwa nini sijui sheria ya kukupiga sijui waameipta wapi na wabunge walivyokuwa wapumbavu hata kuuliza bungeni sheria ya kumpiga raia kwa jeshi la polisi wameipata wapi pale wanapomkamata au polsi ukumauliza kosa langu kitu gani yeye anachojua ni kukupiga tu nafikiri hata yeye mwenyewe hajui mambo haya yatakwenda mpaka lini .Jeshi la polisi kajifunzeni uweli na muwe creative wa kuingiza pesa na sio kuchukua Rushwaaa.
Tutafute pesa
Tuache vaa kihuni
Lugha