Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Feb 28, 2024 #41 Jitahidi kukaa mbali na uhalifu na wahalifu.
chariti JF-Expert Member Joined Aug 18, 2023 Posts 362 Reaction score 748 Feb 28, 2024 #42 kweli ishi kwa akili na mwanamke na polisi wenye njaa lakini ukishafanyiwa umafia andaa na wewe ambushi rudisha walichokufanyia mara 10000 in putin voice hadi waombe uhamisho.
kweli ishi kwa akili na mwanamke na polisi wenye njaa lakini ukishafanyiwa umafia andaa na wewe ambushi rudisha walichokufanyia mara 10000 in putin voice hadi waombe uhamisho.