Ushauri: Ulaji wa mafuta wa Toyota Wish

Dah kazi unayo... Peleka garage tafuta fundi wa maana akufanyie diagnosis ya maana... Hapa tutakua tunabahatisha tu bila Kuona gari

Niliwahi kuazima gari ya mtu ilikua na miss ya kijinga sana yaani mafuta ilikua inakunywa bila huruma nikapaki mahali nikatafuta fundi akaja uzuri akajua shida ni nini aliporekebisha safari ikawa tamu mafuta yakawa yanaenda kawaida tu
 
Duu
Thx
 
Habari wakuu?
Naombeni ushauri, wish yangu inakula lt1 km4 tatzo itakua nini?

Wataalamu nisaidieni.
Sababu zinazopelekea kula mafuta ni nyingi.
Tafuta fundi aione gari. Hapa hutapata ushauri wa maana zaidi ya huo, 7bu hujatoa maelezo ya namna gari yako unaihisi vipi unapoendesha. Eg, haina nguvu/inachelewa kuwaka hadi ukanyagie, nk. Bila kuoata maelezo mazuri, unaweza ukahukumu engine kwa tatizo la gear box.
 
Inawaka kawaida,na nguvu ni nzr kabsa na Haina mis yoyote,
Ila ntapata ushaur wako mkuu.
 
Utakuwa umefanyiwa uhuni, umebadilishiwa engine na mafundi gereji, umewekewa engine ya v8 iliyochoka. Ushauri kutoka JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…