Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Wakuu hembi nipeni ushauri juu ya hili.
Kuna sheem nimenunua ila ipo nje ya mji na umeme hakuna.
Nilikuwa nataka kuanzisha kiwanda cha kufyatulia tofali wakati huu mji haujaanza ili ukichanganya niwe mwenyeji.
Ushauri:-
a)Je Aina gani ya Machine inafaa katika maeneo hayo ambayo umeme hakuna
b)Je zipo za kutumia Diesel?yaani zenye ku ji generate zenyewe
c)Au za kutumia umeme kisha kununua Generator?na Generator aina ipi inafaa
d)Pia je Mixers zipo aina moja au zipo aina tofauti?na je zipo za Diesel au zote ni umeme?
Kama kuna mwenyekujua wapi naweza kwenda kupata bidhaa hizo,na bei zake kwa mwenye kujua sio mbaya pia.
Na pia kama kuna ushauri wowote juu ya post husika.
Stay blessed