kataip
Senior Member
- Aug 21, 2013
- 145
- 80
Hope wazima.
Binti kapata kijana wa 45 muajiriwa ana mke mjamzito na watoto 3 anamjali kwa material yeye, wazazi na ndugu zake shida zao wanatatuliwa.
Yeye ni ps kwa private sector mshahara wake hauzidi laki 2 na yupo tayari kuacha kazi. Anampa muda kuliko mke na watoto na kamuahidi kumjengea. Wamekutana mwezi mmoja ulopita anataka kutoa mahari na amuoe.
Yupo tayari anasema amependa ndugu hawamuelewi ila wazazi wapo tayari. Anasaidika vipi binti huyu?
UPDATES
Nashukuru kwa wote ambao wametoa mawazo yao naona bibie kafika dau ndoa ndiyo ambayo inamfaa hasikii haoni.
Bwana kakabwa kabali familia kwake ni baadaye sanaaaa.