Ushauri unahitajika: Ana 26 anataka kuwa mke wa pili

kataip

Senior Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
145
Reaction score
80
Hope wazima.

Binti kapata kijana wa 45 muajiriwa ana mke mjamzito na watoto 3 anamjali kwa material yeye, wazazi na ndugu zake shida zao wanatatuliwa.

Yeye ni ps kwa private sector mshahara wake hauzidi laki 2 na yupo tayari kuacha kazi. Anampa muda kuliko mke na watoto na kamuahidi kumjengea. Wamekutana mwezi mmoja ulopita anataka kutoa mahari na amuoe.

Yupo tayari anasema amependa ndugu hawamuelewi ila wazazi wapo tayari. Anasaidika vipi binti huyu?



UPDATES
Nashukuru kwa wote ambao wametoa mawazo yao naona bibie kafika dau ndoa ndiyo ambayo inamfaa hasikii haoni.
Bwana kakabwa kabali familia kwake ni baadaye sanaaaa.
 
Kaka miezi sita tu tunaomba mrejesho nikisema mwaka itakuwa mbali sana
 
Mwanamke mwenye miaka 26 ni mdogo sana kwa ndoa?
Bado sana kwa dunia ya sasa anaweza kupata mtu mzuri niko kazini na wanawake wako 28 mpaka 30 hawajaolewa!! Usichulie umri unaweza Kuta kimwili kidogo sio miaka ya zamani
 
Inaanzaga hivi hivi kama masiala matokeo yake ni maumivu makubwa
 
45 yrs unamuita kijana?
 
Anampa muda kuliko mkewe na watoto na kaahidi kumjengea nyumba[emoji23][emoji23]
 
Mwanamke mwenye miaka 26 ni mdogo sana kwa ndoa?
Mapema naona kujipa presha na kuangukka pasipo stahili muangalie diva kakubali mke wa pili akiwa ni 30+ hata queen Darleen Naye kakubali uke wenza 30+
 
Uyo bwana atabadirikaa mda wowote asiache KAZI ata kama mshahara laki asiache...kwasababu awezi Jua moyo wa mke mwenza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…