Ushauri unahitajika: Ana 26 anataka kuwa mke wa pili

Hakuna kijana wa 45
 
Njaaa mbaya sana jamani.
Mnazaa watoto wa kike hakikishe i mnawaachia malinzote wao maana lah sivyo watapata tabu sana.
 
Huyo huwezi kumshauri mkuu. Wacha ale kwa urefu wa kamba.
 
Siku hizi kuna vijana wa miaka 45
 
Mwezi mmoja kukutana ni mfupi sana kumjua huyo mwanaume kiasi cha binti kufanya maamuzi magumu ya kuacha kazi na kufunga ndoa kama mke wa pili
Pesa inaongea mkuu.
 

Amepagawa na chapaa
 
Asirogwe akatema big G kwa karanga za kuonjeshwa
 
Jambo zuri aolewe tu asipoteze hiyo nafasi kumbuka wanawake wengi kuliko wanaume na wanaume wa kuoa ni wachache siku hz
 
Jambo zuri aolewe tu asipoteze hiyo nafasi kumbuka wanawake wengi kuliko wanaume na wanaume wa kuoa ni wachache siku hz
Vipi atasaidika yule mke mwenye mimba kubwa na wanae wakati huyu anaolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…