Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Kwa AKILI zake.....yeye ni PANYA .....huo muda anaopewa kuliko mke halisi ni MTEGO.....huyo njemba wa miaka 45 ndo mmiliki wa mtegoAnampa muda kuliko mkewe na watoto na kaahidi kumjengea nyumba[emoji23][emoji23]
Uislaam umeweka sawa suala la ukewenza kwamba Mume aweke mizani sawa kwa wake zake wote wawiliVipi atasaidika yule mke mwenye mimba kubwa na wanae wakati huyu anaolewa
š¤£š¤£š¤£Sasa my miaka 25 atakua mzee ?45 ni kijana?
Mmmh sawaNi kijana uzee unaanzia 60
Ndyo45 ni kijana?
Dini gani?Vipi atasaidika yule mke mwenye mimba kubwa na wanae wakati huyu anaolewa
Ndiyo kama hana hela.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa my miaka 25 atakua mzee ?
Kabla Samia hastafu huyo jamaa atakuwa na sitini kasoro45 yrs unamuita kijana?