T Truly JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 228 Reaction score 32 May 27, 2014 #1 Wadau heshima mbele Nina ndugu yangu kamaliza form six mwaka huu. Kasoma CBG plus Basic Applied Mathematics. Kaniomba ushauri asomee nini. Nami naomba msaada hapa maana mawazo tofauti tofauti yanasaidia pia. Shukrani
Wadau heshima mbele Nina ndugu yangu kamaliza form six mwaka huu. Kasoma CBG plus Basic Applied Mathematics. Kaniomba ushauri asomee nini. Nami naomba msaada hapa maana mawazo tofauti tofauti yanasaidia pia. Shukrani
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,340 Reaction score 4,734 May 27, 2014 #2 Yeye anapenda nini? Alisoma CBG kwa malengo yapi?