Mwanamke abadilike maana mwanamke hana dini mpaka aolewe. Wanawake wengi kwa kupenda wanabadili dini kilaini tu. Hapa jamaa ameamua kulimaliza swala kiutu uzima ili demu asielewe.Kuna kitu alichoona jamaa kuwa in real life hawezi kuishi na rafiki yako ndio maana kashamwambia ndgu hawataki na kamwambia kuwa tayari there is sugested alternative. Kusema yule dada hampendi ni kisingizio tu mbele ya demu ili asijisikie inferior. Jamaa kagundua kitu kikubwa na rafiki yako asifikirie kuolewa na mshikaji ni ndoto.